Aliyoyasema Nape Nnauye leo Ijumaa Kuu - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Aliyoyasema Nape Nnauye leo Ijumaa Kuu

 Mbunge wa Mtama, Nape Moses Nnauye asubuhi ya leo ametuma ujumbe kupitia akaunti yake ya Twitter akisema Leo ni Ijumaa Kuu!Yesu Kristo alibeba machungu yote!Tusamehe wote waliosababisha machungu maishani mwetu! Tumshukuru Mungu kwa kila jambo!

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.