Wajanja wa Mjini Wamliza Mhe Temba Mamilioni ya Pesa Mchana Kweupe...!!! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wajanja wa Mjini Wamliza Mhe Temba Mamilioni ya Pesa Mchana Kweupe...!!!

Msanii Temba kutoka TMK Wanaume amefunguka na kuweza wazi kuwa alikwama katika muziki na kushindwa kuachia kazi zake mwenyewe baada ya kutapeliwa pesa zake na mtu ambaye alikuwa akifanya naye biashara za magari.

Mh. Temba alisema hayo kupitia kipindi cha Friday Night Live  na kudai kuwa alimuamini sana Mustafa lakini hakujua kuwa alikuwa anatengenezwa ili aje kupigwa pesa zake.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.