Vanessa Mdee: Niko salama, naachia muziki mpya wiki hii - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Vanessa Mdee: Niko salama, naachia muziki mpya wiki hii

Muimbaji huyo wa Cash Madame amewashukuru wote waliompa pole wakati alipokuwa ameshikiliwa na kudai kuwa ataachia wimbo mpya wiki hii.
“I love you all sooo much 😚,” ameandika kwenye Twitter.
“It is by his Grace alone 💜 Utukufu kwa Mungu wetu wa miujiza.
Thankyou for your kind tweets and posts. I got a glimpse of some of them and this kinda loooooove 😍,” ameongeza.
“AND incase you were wondering. I am doing so fine. Infact new music out THIS WEEK 😙.”

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.