Utapenda... Alichokisema Diamond Kuhusu Harmorapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Utapenda... Alichokisema Diamond Kuhusu Harmorapa

Mkali wa Bongo Fleva Diamond Platinums Amefunguka Kuwa Hawezi Kumkandamiza Harmorapa kwa kutumia jina linalofanana na harmonize kwani staa huyu naye anatafuta maisha.

Diamond Amesema kuwa anampongeza Harmonize kwa kazi nzuri anazofanya hali iliyopelekea kupata shabiki anayevutiwa naye na kutamani kuwa kama yeye .

Aidha Staa huyo anayeweka na trak yake ya Marry You amesema kuwa Harmorapa Anatakiwa Kuungwa Mkono kama wasanii wengine kwani huenda alitafuta sana nafasi hii kwa muda mrefu.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.