Snura Afiwa na Mnenguaji Wake - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Snura Afiwa na Mnenguaji Wake

PIGO! Mwanamuziki Snura Mushi amepata majanga baada ya kuondokewa na mnenguaji wake aliyefahamika kwa jina la Dotto.
Taarifa zilizoliļ¬ kia gazeti hili zinaeleza kuwa, Dotto aliyekuwa mmoja wa madansa tegemezi wa Snura alifariki dunia hivi karibuni ikiwa ni siku chache baada ya kujifungua huku chanzo cha kifo chake kikiwa hakijafahamika.
Akizungumzia msiba huo, Snura alisema Dotto ameondoka wakati mchango wake ukiwa bado unahitajika lakini hana la kufanya zaidi ya kumshukuru Mungu.
“Dah! Nimeumia sana, siwezi kusimulia msiba wa Dotto kwani umenishitua sana, wanaomjua wanaelewa alivyokuwa akinipa sapoti kwenye shoo zangu ila hatuna la kufanya zaidi ya kumuombea kwa Mungu,” alisema Snura

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.