Sitamani kuwa Mtanzania - Quickrocka - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Sitamani kuwa Mtanzania - Quickrocka

Msanii Quickrocka (Switcher Baba) amesema hawezi kujisifia kuwa raia wa Tanzania kuanzia sasa kutokana na kile anachokiamini yeye kutendeka ndivyo sivyo.

Hayo yamekuja baada ya muda mfupi Rais Magufuli kufanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na kumuweka pembeni Nape Nnauye aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

'I don’t feel proud' kuwa Mtanzania 'anymore'…Tunatangazaje na kusifia nchi ambayo viongozi wanaosimamia ukweli na sheria wanaondolewa…Huku wanaozingua wanaendelea kupeta. Nape alikua Waziri sahihi kabisa kwetu wasanii,wanamichezo na Wanahabari". Ameandika msanii huyo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.