Ruge Afunguka Yote ilivyokuwa Paul Makonda Kuvamia Kituo cha Clouds FM Usiku na Askari...Ataka Aombe Radhi - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ruge Afunguka Yote ilivyokuwa Paul Makonda Kuvamia Kituo cha Clouds FM Usiku na Askari...Ataka Aombe Radhi

Stori iliyotrend jana siku nzima kuhusu Mkuu wa Mkoa Paul Makonda Kuvamia kituo cha Polisi na Bunduki usiku wa Ijumaa imedhibitishwa leo na Mkurugenzi wa Kituo hicho Ruge Mutahaba akiongea katika kipindi cha 360

Ruge Mutahaba amefunguka A to Z na Kuelelezea tukio lilivyotokea mpaka Mkuu huyo wa mkoa kuchukua recordings za dada ambaye alirekodiwa na Shilawadu lakini hawakuweza kurusha kwa vile stori haukubalance....

Ruge Amedai Makonda ni Rafiki yake lakini kwa hilo inabidi aombe radhi Watanzania Kwa vile Radio ya Clouds inasikilizwa na watu wengi Tanzania.....

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.