Ronaldo Aipigia Mawili Ureno Yashinda 3-0 Kufuzu Kombe La Dunia - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ronaldo Aipigia Mawili Ureno Yashinda 3-0 Kufuzu Kombe La Dunia

Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Ureno dakika za 36 na 65 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Hungary usiku wa jana Uwanja wa Sport Lisboa e Benfica, da Luz kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia Kundi. Bao lingine la Ureno lilifungwa na Andre Silva dakika ya 32

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.