Picha: Ommy Dimpoz Akaribia Kuachia Video yake Mpya Aliyoifanyia Jangwani. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Ommy Dimpoz Akaribia Kuachia Video yake Mpya Aliyoifanyia Jangwani.

Kama utakuwa mnyemeleaji mzuri wa akaunti ya Ommy Dimpoz ya instagram tayari utakuwa umeweza kuona picha za matukio fulani yenye mantinki moja.Bongoswaggz imeifatilia vyema akaunti hiyo na kwa dalili zilizopo ni huwenda hitmaker huyo wa kajiandae yuko mbioni kutoa ngoma kwa kipindi hichi, ngoma ambayo tutafanikiwa kumuona Ommy dimpoz akiwa katika mazingira ya jangwani.

Bongoswaggz bila hiyana inakusogezea picha kadhaa zilizofanyakwa katika akaunti ya hitmaker huyo wa kajiandae.Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.