P-Funk: Diamond anapaswa kutulia kidogo, lasivyo watu watamchoka - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

P-Funk: Diamond anapaswa kutulia kidogo, lasivyo watu watamchoka

Producer mkongwe wa Bongo Records, P-Funk Majani, amesema kila siku akiendelea kusikia kuhusu Wasafi, itafika muda atawachoka.
Amedai kuwa ili label hiyo iendelee kufanya vizuri kwa muda mrefu, ni lazima ibadilishe sound, kuja na ladha au wasanii wapya. Amedai pia kuwa pamoja na ukubwa wa Diamond, kama asipotengeneza hali ya watu kummiss, watu watamchoka mapema.
Majani amesema hayo kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM kinachoendeshwa na Lil Ommy.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.