Nuh Mziwanda na mkewe Nawal wapata mtoto wa kike - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Nuh Mziwanda na mkewe Nawal wapata mtoto wa kike

Nuh Mziwanda na mkewe Nawal wamefanikiwa kupata mtoto wao wa kwanza wakike.
Akiongea kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM, muimbaji huyo amesema kuwa mke wake amejifungua jana usiku na tayari wamempatia jina la Anyagile.
Nuh na Nawal walifanikiwa kufunga ndoa mwezi Novemba mwaka jana. Wakati huo huo hitmaker huyo wa Jike Shupa ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘Anameremeta’.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.