Nay wa Mitego ahamishiwa kituo cha kati cha polisi Dar - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Nay wa Mitego ahamishiwa kituo cha kati cha polisi Dar

Rapper Nay wa Mitego amehamishiwa katika kituo cha kati cha polisi jijini Dar es Salaam kutoka Mvomero, Morogoro alikokuwa ameshikiliwa na polisi kuanzia asubuhi ya Jumapili, March 26.
Taarifa hiyo imetolewa na mwanasheria maaarufu nchini, Peter Kibatala.
Rapper huyo yupo matatani baada ya kuachia wimbo mpya uitwao Wapo unaikosoa vikali serikali ya Rais Dkt John Magufuli.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.