Nape Nnauye afunguka haya baada ya nyimbo ya Nay wa Mitego kuruhusiwa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Nape Nnauye afunguka haya baada ya nyimbo ya Nay wa Mitego kuruhusiwa

ALIYEKUWA Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye kupitia ukurasa wake wa twitter amechapisha ujumbe wenye kutaka itumike busara na siyo nguvu katika kufanya maamuzi.

Aidha ujumbe huo ulikwenda sambamba na picha ya msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’.

Nape ameonyesha kuguswa baada ya kukamatwa kwa mwanamuziki huyo na alipoachiwa huru amepongeza uamuzi uliofanyika na kusisitiza mara zote busara inastahili kutumika.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.