Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara Dkt. Kafumu na Makamu Vicky Kamata wajiuzulu - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara Dkt. Kafumu na Makamu Vicky Kamata wajiuzulu

Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara Dk Dalali Kafumu na makamu wa kamati hiyo Vick Kamata, kwa pamoja wamejiuzulu nafasi zao.

Viongozi hao wameeleza sababu za kuchukua hatua hiyo kuwa ni serikali kuingilia majukumu yao katika utendaji kazi na hivyo wakaeleza kuwa hawaoni sababu za kuendelea na majukumu hayo.

Wamekabidhi barua za kujiuzulu kwenye ofisi ya spika wa bunge jana.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.