Leo ndio leo Gwajima na Watangazaji wa Clouds TV - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Leo ndio leo Gwajima na Watangazaji wa Clouds TV

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mchungaji Gwajima Ameandika Haya:

From @bishopgwajima - Nitatoa ufafanuzi wa wazi juu ya taarifa zinazosambazwa mtandaoni na baadhi ya watangazaji wa Clouds TV. Nitakuwa LIVE kwenye YouTube kuanzia saa nne na nusu asubuhi ya leo. Link ya channel ipo kwenye Bio yangu unaweza kusubscribe ili ujulishwe Mara niingiapo hewani. Mungu akubariki.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.