Maua Sama aeleza mafanikio aliyoyapata katika muziki hadi sasa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Maua Sama aeleza mafanikio aliyoyapata katika muziki hadi sasa

Maisha kwa Maua Sama yanakwenda vyema, asante kwa mkwanja anaopata kupitia muziki anaofanya
Muimbaji huyo wa ‘Main Chick’ ameeleza kuwa kwa sasa ameshanunua kiwanja kwaajili ya kudodondosha mjengo wake. “Muziki bado naudai sana lakini mwisho wa siku unalipa sababu naendesha maisha yangu sasa hivi, I have my own place, I have bought plots, I have my businesses,” Maua alikiambia kipindi cha The Playlist cha Times FM.
“Anytime soon naweza nikaanza,” alijibu kuelezea lini mjengo wake unaanza kujengwa.
Pia amedai kuwa ameaigiza gari lake, Toyota IST New Model.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.