Mashabiki wa Yanga waendelea na mchango, kuhakikisha Ngoma, Tambwe wanaenda South - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mashabiki wa Yanga waendelea na mchango, kuhakikisha Ngoma, Tambwe wanaenda South

Mashabiki mbalimbali wa Yanga, wameendelea na michango ili kupata nauli kuwasaidia wachezaji wao kwenda kutibiwa Afrika Kusini.

Mashabiki na wanachama hao wa Yanga, wanataka Donald Ngoma na Amissi Tambwe wanakwenda kutibiwa Sauz matibabu ya uhakika.

Washambilizi hao wawili wamekuwa majeruhi na kuipa Yanga wakati mgumu katika mechi zake muhimu.

Kupitia makundi mbalimbali ya Whatsapp, michango hiyo imekuwa ikiendelea ili kufanikisha lengo hilo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.