Madee: ‘Bora wangefungia kuonesha mechi za Arsenal kuliko kufungia viroba’ - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Madee: ‘Bora wangefungia kuonesha mechi za Arsenal kuliko kufungia viroba’

Star wa bongofleva Madee ameendelea kulia na Arsenal, baada ya the Gunners kutupwa nje ya UEFA Champions League na Bayern Munich kwa jumla ya magoli 10-2. Madee ameandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa twitter akionesha kusikitishwa na matokeo hayo.

“Bora wangefungia kuonyesha mechi za Arsenal kuliko kufungia viroba,” ujumbe wa Madee unasoka kwenye ukurasa wake wa twitter.
Madee anafahamika kwa mahaba yake kwa Arsenal huku akishindwa kuzuia hisia zake baada ya vijana wa Wenger kutolewa kwa mara ya saba mfululizo katika hatua ya 16 bora ya UEFA Champions Leagu.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.