Lissu akamatwa Dodoma na kusafirishwa Dar - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Lissu akamatwa Dodoma na kusafirishwa Dar

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) Tundu Lissu amekamatwa nyumbani kwake Dodoma leo (Alhamisi hii) na kupelekwa katika ofisi ya kamanda wa polisi wa mkoa huo.
Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa polisi wa mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambosasa amesema ni kweli amekatawa na anasafirishwa kwenda Dar es Salaam kwa madai kuwa ameruka dhamana.
Lissu ambaye pia ni wakili maarufu nchini, anagombea nafasi ya urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS).
By: Emmy Mwaipopo
Chanzo: Mwananchi

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.