Lionel Messi afunguka baada ya kufungiwa na FIFA - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Lionel Messi afunguka baada ya kufungiwa na FIFA

Baada ya Lionel Messi kufungiwa mechi nne na shirikisho la soka la kimataifa (Fifa) baada ya kudaiwa kumtukana muamuzi wa pembeni
Wakati wa mchezo dhidi ya Chile uliyochezwa March 24 2017, baada ya kufungiwa Lionel Messi mtandao wa bleacherreport ulimtafuta Lionel Messi na haya ndio yalikuwa maneno yake.

“Maneno yangu hayakuwa yamemlenga moja kwa moja muamuzi msaidizi, kuna maneno ambayo yalikuwa yamesemwa kwangu mimi nilijisemea tu” >>> Lionel Messi

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.