Laurence Masha Ajitoa Kugombea Urais TLS, Amuunga Mkono Tundu Lissu - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Laurence Masha Ajitoa Kugombea Urais TLS, Amuunga Mkono Tundu Lissu

Mgombea Urais wa Chama cha Wanasheria nchini (TLS) Ndg. Laurence Masha amejitoa kwenye kinyang'anyiro hicho kwa hoja kuwa anaamini uwezo wa Lissu katika kuiongoza TLS.

Amewaomba mawakili wote waliopanga kumpigia kura wampigie Tundu Lissu. 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.