KAMA UNA NDOTO YA KUWA MSANII WA FILAMU FURSA HII HAPA - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

KAMA UNA NDOTO YA KUWA MSANII WA FILAMU FURSA HII HAPA

Kampuni ya Ndauka Advert ya malkia wa filamu Rose Ndauka ikishirikiana na African Swahili TV Machi 9,10 itafanya usahili katika ukumbi wa Kijiji cha Makumbusho kwajili ya kuwapata wasanii ambao watashiriki kwenye tamthilia mpya itwaayo ‘How Cheat?’
Muigizaji huyo amewataka wasanii wakubwa kwa wadogo kuchangamkia fursa hiyo ili kujipatia ajira pamoja na kukuza vipaji vyao.
“Kipaji chako ndio mtaji wako, kipaji chako ndio ajira yako,” alisema Rose.
Muigizaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja amekaa kimya kwa muda mrefu bila kuachia filamu.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.