Jokate Ataja Sababu Zilizompeleka NBA Mpaka Kupiga Picha na Jay Z na Beyonce - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Jokate Ataja Sababu Zilizompeleka NBA Mpaka Kupiga Picha na Jay Z na Beyonce


 From #jokatemwegelo -  Wiki iliyopita nilialikwa kuhudhuria shughuli za NBA Afrika katika NBA All Star Weekend- weekend inayojumuisha wachezaji top ( creme de la creme ) wa kwenye ligi ya NBA ya Marekani, ambapo katika hiyo weekend siku ya Jumamosi tukazindua NBA Afrika Game ya 2017. Nilipata mualiko huo kutokana na juhudi zangu binafsi za ujenzi wa kiwanja cha mchezo pale Jangwani Secondary. Na lengo ni kujenga viwanja vingi na kufanya vitu vingi vya kuboresha maeneo ya mashule ya umma. Tutengeneze watoto na vijana wenye uweledi, kujitambua na ujasiri.
Ila zaidi kuhamasisha wasichana wa kike kuingia kwenye michezo na haswa mchezo wa mpira wa kikapu.
Faida za michezo kwa wanafunzi; inakujengea na kusaidia kwenye
1. Discipline
2. Network
3. Hard work
4. Team work
5. Perseverance
6. Focus
7. Goals
8. Targets
9. Physical and Mental Health
10. Unaepuka vishawishi na magenge yasiyokuwa na tija ..... Na mengine mengi.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.