Jokate Ajibu Baada ya Alikiba na Mama Yake Kumkana,,!!! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Jokate Ajibu Baada ya Alikiba na Mama Yake Kumkana,,!!!

Baada ya kuulizwa kwenye kipindi cha clouds 360 anachukuliaje Ali Kiba na mama yake kumkana kwenye mapokezi ya msanii huyo, mrembo Jokate alijibu "Mimi kila kitu nachukulia positive unaambiwa tenda wema nenda zako, kwanza sitaki kuamini kwamba walimaanisha, labda waliteleza au walikosea script."

Jokate aliongeza yupo single na ameanza kutamani kuwa na mtoto.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.