Hii ni taarifa ya uchaguzi wa wajumbe wa Bunge la Afrika Mashariki - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hii ni taarifa ya uchaguzi wa wajumbe wa Bunge la Afrika Mashariki

Uchaguzi wa Wajumbe Tisa (9) watakaoiwakilisha Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA) unatarajiwa kufanyika katika Mkutano wa Saba wa Bunge unaotarajiwa kuanza Aprili 4 mwaka huu.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.