Harmonize Awajibu Haters Waliomkashifu Baada ya Kutoa Video ya 'Niambie' - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Harmonize Awajibu Haters Waliomkashifu Baada ya Kutoa Video ya 'Niambie'

Harmonize aliweka wimbo wake mpya ‘Niambie’ kwa YouTube tarehe 16 Machi 2017. Wimbo huo umezua utata kwa sababu kuna watu wanasema haijaendana na maudhui ya audio.

Watu wengi wakitoa maoni yao walisema kuwa audio inajenga picha ya umaskini lakini kwenye video Harmonize anaonekana kwenye maisha ya kitajiri sana.

Akionge kwenye kipindi cha Prince Ramalove kupitia ya Kings FM, Harmonize alifafanua kuwa kwenye video yeye alikuwa kijana maskini ambaye alikua na mpenzi tajiri aliyempa kila kitu.

“Sina mtonyo lakini naishi kwake,sasa nikiishi kwake na yeye ana hela,ntafanyaje?”Alifafanua Harmonize.


Tazama Video hapa chini; 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.