Habari Njema Kwa Wapenda Burudani, Soma Hii Inakuhusu Sana. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Habari Njema Kwa Wapenda Burudani, Soma Hii Inakuhusu Sana.

Kwanini Upate Tabu Wakati Ukitaka Kusikiliza Radio Uzipendazo ? Pakua App yetu BongoSwaggz Upate Radio Zote Kali Bongo na Nje Mikononi Mwako Kila Time Usiptwe na Uhondo Huu.


Fuata maelekezo yafuatayo kuweza kusikiliza radio kibao na kupata burudani ya nguvu:

1: Download Application Yetu Kutoka PlayStore Bofya Hapa kama tayari unayo kwenye simu yako basi fungua kisha fuata hatua ya pili.

2: Fungua Appplication yako kisha Bofya kwenye Icon ya Menu iliyopo Juu Kushoto mwa App.

3: Baada ya kuingia kwenye Menu sasa bofya Sehemu ya Online Radio

4: Baada ya Kuingia kwenye Online Radio sasa utaweza kuchagua Radio gani ungependa kusikiliza kisha Play na uanze kupata Uhondo wa mambo.
Sasa kazi ni kwako tu kutembelea App hii pendwa na kusikiliza radio uzipendazo wakati wowote huku ukiwa unasoma habari zote kubwa za siku ukiwa bado ndani ya App ya BongoSwaggz. 

Waambie na marafiki wasije kupitwa na hii.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.