Dogo Janja Aonesha Jeuri ya Fedha, Anunua Gari Jipya - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Dogo Janja Aonesha Jeuri ya Fedha, Anunua Gari Jipya

Dogo Janja ameonesha jeuri ya fedha. Baada ya kuibiwa baadhi ya vitu kwenye gari lake aina ya Porte rapper huyo amenunua gari jingine jipya.

Gari hilo la sasa ambalo atakuwa anamiliki Dogo janja ni Raum new model yenye rangi nyekundu. Kupitia mtandao wa Instagram, Madee ameweka picha ya Janja akiwa juu ya gari hilo na kuandika, “Janjaro new car!!! Raum new model!!!.”

Wakati huo huo kuthibitisha kuwa jambo hilo halina utani, hitmaker huyo wa Kidebe ameweka picha hiyo hapo juu kwenye Instagram na kuandika, “Don mess up with BUDABOSS! ayah umeona dogo @youngkillermsodokii endelea kufuga icho kitoroli chako cha milion mbili…”

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.