Diamond: Awajibu Mashabiki Zake Wanao hisi Hatoi Sadaka. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond: Awajibu Mashabiki Zake Wanao hisi Hatoi Sadaka.

Hitmaker wa ngoma ya Marry you, Diamond Platnumz aliyoshirikishwa Ne-yo, tayari amaeingia kwenye headlines katika mitandao ya kijamii baada ya kuipost cheni yake aliyoinunua kwa gharama kubwa kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Kama ilivyo kawaida ya mtu mwenye mashabiki wengi hakosi maadui pia. Msemo huu unadhihirika baada ya baadhi ya watu kuanza kuporomosha matusi baada ya kuona post hiyo.

Huwa si mara kwa mara Diamond kujibu comment katika ukurasa wake ingawaje huisoma kila comment inayojitokeza kwenye ukurasa wake huo, kwa mujibu wa madai yake +Diamond Platnumz  ameshidwa kujizuwia baada ya maneno kuwa mengi kwenye picha aliyoipost.

Baada ya post hiyo na maneno kuwa mengi kuhusu post hiyo. Diamond akaamua kuyaandika haya.

"Nimejenga nyumba 5 mwaka jana Iringa, Misikiti miwili na mmoja Morogoro na pia mwingine Mtwara na madrasa Tegeta na nyumba ya imamu mbali na sadaka unataka nitoe hela zote sadaka nami nisifuhishe nafsi yangu embu niombe radhi kwa hilo.”

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.