Chris Brown Alikwisha Kuapa Kwa Mungu Kuwa Hakuna Wa Kumtenganisha na Karueche. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Chris Brown Alikwisha Kuapa Kwa Mungu Kuwa Hakuna Wa Kumtenganisha na Karueche.

Sometimes Mapenzi kweli ni hisia zinazoumiza lakini hazichoshi Chriss Brown analithibitisha kwa Karueche anaimani ndiye pendo lake la haki na Karueche hamtaki ameshamove on na maisha yake!
Kupitia Lyrics za Néxt To You wimbo wa Chrissbrown Wa kitambo aliomshirikisha Bieber. Unaweza kutuelezea jinsi gani hata karueche afanye nini Chriss Brown ataendelea kumpenda maishani mwake.
Chriss anasema “And baby, everything that I have is yours
You will never go cold or hungry
I’ll be there when you’re insecure
Let you know that you’re always lovely
Girl, ’cause you are the only thing that I got right now”
Kila kitu ambacho ni mali yangu ni chako pia, hautaweza kuhisi baridi wala njaa ntakuwepo muda wote kukulinda Tambua unapendwa, wewe ni kitu pekee cha thamani nilicho nacho sasa!
Karueche anamuacha Chriss Brown na kwenda kuishi mbali jambo ambalo Chriss hakubalini nalo, anajiingiza kwenye ulevi wa madawa ya kulevya na kuanza kumtishia maisha Karueche.
Karueche anaripoti Polisi Chriss anapelekwa Mahakamani na kuhukumiwa  akae umbali wa mita 100 na Karueche pamoja na Familia yake asiwasogele kabisa pamoja na adhabu ya  kufanya usafi maeneo ya jumuiya kama sehemu ya adhabu.
Chriss anampenda Karueche kuliko awe na mtu mwingine bora tu afe anajitumbukiza kwenye ulevi wa madawa ya kulevya anasahau adhabu yake anaendelea kumfuatilia Karueche tena.
Karueche anahofia maisha yake anaripoti mara ya pili tena Mahamani anataka Chriss azuiwe maisha kuonana naye  na asimsogelee kabisa kwa  kuwa Chriss anakwepa kazi za kijamii alizopangiwa na bado anamtishia maisha na ushahidi anao!
Chriss alishawahi kumjibu Karueche kupitia mashairi ya Néxt to you kwamba…
“We’re made for one another
Me and you
And I have no fear
I know we’ll make it through”
Tuliumbwa pamoja mimi na wewe sina cha kuogopa najua haya yote tutapita!
Chriss Brown anatry kumkumbusha Karueche jinsi gani anampenda, anabelieve waliumbwa pamoja yote yatapita.
Mbingu inaweza ikadondoka lakini hakuna wa kututenganisha maishani sababu Nitakuwa pembeni yako!
Jaji anatoa notice Chriss aende mahakamani siku ya Alhamisi hukumu itatoka kamili kama Chriss aende JELA ama Asiruhusiwe kumuona Karueche tena maisha yake yote!
Hili litakuwa pigo kwa Chriss Brown kuzuiwa asimuone tena Karueche mwanamke aliyempenda maisha yake yote!
Je Itawezekana?

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.