Chelsea waanza kumfukuzia Alexis Sanchez - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Chelsea waanza kumfukuzia Alexis Sanchez

Kocha wa klabu ya Chelsea Antonio Conte ana malengo ya kumsajili mchezaji wa Arsenal Alexis Sanchez majira yajoto kwa mujibu wa habari kutoka The Guardian.
Muitaliano huyo ambaye kwa sasa anafanya mazungumzo ya mkataba mpya na klabu yake na ameshafanya mjadala kuhusu maswala ya uhamisho na uongozi wa klabu ya Chelsea, hivyo kuwa mstari wa mbele kumpata mchezaji huyo raia wa Chile anayetaka kuondoka Emirates majira ya joto.
Alexis amekerwa na kikosi cha Arsenal kisicho na maendeleo, pia anatakiwa na PSG, Juventus na Inter Milan.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.