Brazil timu ya kwanza kufuzu kombe la Dunia 2018 Russia - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Brazil timu ya kwanza kufuzu kombe la Dunia 2018 Russia

Timu ya taifa ya Brazil alfajiri ya leo imekuwa ni timu ya kwanza kufuzu michuano ya Kombe la Dunia 2018 Russia, baada ya kuifunga timu ya taifa ya Paraguay kwa magoli 3-0.
Magoli ya Brazil yalifungwa na Coutinho alifunga goli la kwanza na la pili lilifungwa na Neymar na goli la mwisho lilikuwa katika dakika tano za mwisho ambapo Coutinho alicheza vyema kwa muuganiko na Marcelo, ambao walipeleka pasi kwa Paulinho aliyekuwa amepanda mbele na akauunganisha mpira kwa kisigino ukakuta Marcelo aliyekuwa anakimbia na kufunga kwa urahisi.
Brazil katika kundi lake yupo na timua za Uruguay, Peru na Paraguay.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.