Barnaba naye amlilia Vanessa Mdee - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Barnaba naye amlilia Vanessa Mdee

Vanessa Mdee ni mtu wa watu. Kila kukicha wasanii wameonekana kumpa pole mrembo huyo anayeshikiliwa na jeshi la polisi tangu mapema wiki hii akituhumiwa kutumia na kusambaza dawa za kulevya.
Baada ya Nay wa Mitego kumpa maneno ya kumtia moyo Vanessa, Barnaba amefuata njia hiyo kupitia mtandao wake wa Instagram kwa kuandika ujumbe wenye hisia nzito ndani yake.
Kupitia mtandao huo, Barnaba ameandika:
Tabasamu lako ndo letu mungu Atakuongoza My sister wa ushindi kabisa nakuombea na mungu yuko katika hatua zako $ @vanessamdee 💜💜💜💜🙏🏾🕊

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.