Barakah Da Prince na Naj vipi? Huu Ndio Ukweli wa Penzi lao - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Barakah Da Prince na Naj vipi? Huu Ndio Ukweli wa Penzi lao

Barakah Da Prince alikaa kitako na Mtangazaji wa ABM Radio ya Dodoma, DJ Rodger kuzungumzia status ya uhusiano wake na Naj.

Kwenye interview hiyo Barakah amedai kuwa bado mapenzi yao yapo moto moto ila wameamua kutopenda sana kupostiana kwenye mitandao ya kijamii kama zamani.

Ameongeza kuwa ukurasa wake wa Instagram sasa utaendelea kujikita katika kazi zake zaidi na sio mambo ya uhusiano.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.