Baada Ya Kuachiwa Godbless Lema Wema Sepetu Asema Haya - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Baada Ya Kuachiwa Godbless Lema Wema Sepetu Asema Haya

By@wemasepetu 
Mungu ni mkubwa....Ni furaha kusikia Mh. Godbless Lema amepewa dhamana....Najua ulipitia wakati mgumu sana, najua ulikuwa mbali na familia yako, watoto wako, rafiki zako, makamanda wenzako na zaidi wananchi wako wa Arusha na Watanzania kwa ujumla....Ni faraja kwetu kwamba sasa umerudi mtaani kuendeleza mapambano.... Kwenye mapambano haya hautakuwa mwenyewe; Mdogo wako Wema nitakuunga mkono mpaka kieleweke....For that sake, Kesho i'll be in Arusha kuonyesha Solidarity ✌🏼✌🏼✌🏼 "FOR TO BE FREE IS NOT MERELY TO CAST OFF ONE's CHAINS, BUT TO LIVE IN A WAY THAT RESPECTS AND ENHANCES THE FREEDOM OF OTHERS" - NELSON MANDELA #CallMeKamanda

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.