Arsenal Kuwavaa Wababe Wao Bayern - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Arsenal Kuwavaa Wababe Wao Bayern

Mshambuliaji wa Arsenal Alexi Sanchez baada ya Arsenal kufungwa 5-1 na Bayern Munich

Michuano ya klabu bingwa Ulaya inaendelea tena kesho jumanne kwa michezo miwili kwa mechi za marudiano, Arsenal watakuwa wenyeji wa Bayern Munich , Napoli wanawakaribisha Real Madrid.

KaTika mechi za awali Arsenal wakicheza ugenini dhidi ya Bayern Munich waliambulia kipigo cha mabao 5-1 huku Napoli wao wakicharazwa na Real Madrid ba 3-1.

Arsenal na Napoli zina kazi ya ziada ili kuweza kuendelea na mashindano hayo kwa kuwa wanahitaji ushindi wa magoli mengi katika michezo yao kwa kuwa Bayern na Madrid zina mtaji wa magoli mengi kupitia ushindi walioupata nyumbani kabla ya michezo hii.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.