Alikiba, Barakah The Prince na Lady Jaydee lazima wafanye hili wanapotoa ngoma - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Alikiba, Barakah The Prince na Lady Jaydee lazima wafanye hili wanapotoa ngoma

Uongozi wa label ya muziki ya Rockstar4000, huwa na mikakati tofauti wakati wa kuachia nyimbo za wasanii wake.

Seven Mosha, msimamizi wa Rockstar4000, ameiambia Bongo5 kuwa, wakati wasanii wa label hiyo wakiwa wanaachia nyimbo mpya, hukaa pembeni ya mitandao ya kijamii kwa muda.

“Wakati mwingine, all of my artists, wakati we are ready to launch labda an album or single, we are off social media,” amesema Seven.

“Mpaka itoke three days later ndio tunaanza kuinteract, because social media can sway your decisions,” aliongeza.

Rockstar4000 inawasimamia Alikiba, Barakah The Prince na Lady Jaydee.

March 31 mwaka huu, Jaydee ataachia album yake ya saba, Woman.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.