Alichokiandika Nape Baada ya Kuvamiwa kwa Kituo cha Redio Dar - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Alichokiandika Nape Baada ya Kuvamiwa kwa Kituo cha Redio Dar

WAZIRI wa Habari,  Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amefunguka kupitia mitandao ya kijamii juu ya madai ya kuvamiwa kwa kituo cha Redio Clouds FM majira ya saa nne usiku hapo jana.
Aidha Nape amewataka wanahabari watulize mpaka pale jambo hili litakapo patiwa ufumbuzi.
“Litatolewa ufafanuzi”, aliandika Nape.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.