Akaunti ya Shamsa Ford yenye followers 2.1m yadukuliwa (hacked) - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Akaunti ya Shamsa Ford yenye followers 2.1m yadukuliwa (hacked)

Wizi wa akaunti za mitandao ya kijamii kwa mastaa Bongo bado unaendelea – na sasa ni zamu ya Shamsa Ford kulia.
Shamsa amesema kwa sasa bado anaendelea kushughulikia jambo hilo kuhakikisha anairudisha akaunti yake hiyo ambayo ilikuwa ni msaada mkubwa kwake kutangaza kazi zake. Kwa sasa akaunti hiyo inatumika kwa jina @umelikoroga_utalinywa.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.