Wema Sepetu Atinga Maahakamani....Kesi Yaahirishwa Hadi March 15 - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wema Sepetu Atinga Maahakamani....Kesi Yaahirishwa Hadi March 15

Mwanadada mwenye mvuto wa aina yake na Staa nchini Tanzania Wema Sepetu leo alienda tena  Mahakamani baada ya kuachiwa kwa dhamana kwenye sakata la dawa za kulevya baada ya kutajwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi  15 March 2017 baada ya upande wa Mashtaka kusema upelelezi bado  haujakamilika.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.