Walichoandika Professor Jay na Nay wa Mitego Baada ya Wema Sepetu Kujiunga na CHADEMA - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Walichoandika Professor Jay na Nay wa Mitego Baada ya Wema Sepetu Kujiunga na CHADEMA

Baada ya Muigizaji wa Bongo Movie Wema Sepetu kutangaza rasmi kuwa yeye ni Mwanachama wa CHADEMA,Rapa Nay wa Mitego na Professor Jay hawajakosa cha kumuandikia mrembo huyo kila mmoja akieleza alivyompokea.

A post shared by Professor Jay (@professorjaytz) on
Ujumbe wa Professor Jay ambae ni Mbunge wa Mikumi kupitia tiketi ya CHADEMA kwenye ukurasa wake ameandika “Karibu sana KIUMENI kamanda wangu.. @wemasepetu #vua GAMBA vaa GWANDA #READY TO RUMBL💪💪💪💪” kama ishara ya kumpokea.

Nay wa Mitego nae kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika “Toka Wema aje CHADEMA mvua inanyesha tu haitaki kukatika…! wanakuambia kitu barakaaa.”.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.