Wakati Party Ikiendelea, Zari Aficha Funguo za Nyumba Yake. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wakati Party Ikiendelea, Zari Aficha Funguo za Nyumba Yake.

Katika hali ya kuonyesha kuwa hana imani na wageni waalikwa walioudhuria Party ya mwanae, mjasiriamali zari ameamua kubeba kabisa funguo za nyumba yake mkononi jambo lililozua minongono kwa baadhi ya waalikwa wakidai Zari hataki Upuuzi kabisa anaogopa kuibiwa dhahabu zake.

By Warumi

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.