Video Mpya ya Mdogo Wake Vanessa Mdee ‘Mimi Mars’ Inaitwa ‘Shuga’ - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video Mpya ya Mdogo Wake Vanessa Mdee ‘Mimi Mars’ Inaitwa ‘Shuga’

Marianne Mdee, kwenye BIO yake katuandikia ana uwezo wa kuimba, kuandika nyimbo na kufanya utangazaji ambapo leo ndio siku rasmi ameamua kutuonyesha upande mwingine wa kipaji chake ambacho ni mziki, ukishamaliza kuitazama video yenyewe usisahau kuachia comment yako

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.