Video: Hii Ndio Historia ya Rapper Khaligraph Jones Kwa Njia ya Freestyle - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Hii Ndio Historia ya Rapper Khaligraph Jones Kwa Njia ya Freestyle

Watu wengi wamekuwa wakivutiwa na aina ya muziki wa rapper Khaligraph ila uenda wamekuwa hawajui jinsi ambavyo rapper alianza harakati zake za muziki. Rapper Khaligraph ameamua kutoa historia yake kidogo kupitia freestyle.

Katika freestyle hiyo Khaligraph amemzungumzia rapper Kristoff ambaye aliishinae katika maisha ya urafiki lakini waliishi maisha tofauti yaani Kristoff aliishi kama yuko mbinguni kutokana na mavazi na pesa alizokuwa nazo zilikuwa tofauti sana na Khaligraph ambaye alikua hana kitu.

Khaligraph amefanya hivi ili watu wanaopitia maisha kama yeye aliyopitia wajue ukifanya kazi kwa bidii inawezekana kufika mbali. Kwa sasa Khali ni moja ya rappers wa Kenya wenye mkwanja akiwa na endorsement deals za brands kama Tusker na Google.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.