Tiwa Savage Ala Bata na Kelly Rowland, P Diddy na Jay-Z Kwenye Roc Nation's Pre-Grammy Brunch - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Tiwa Savage Ala Bata na Kelly Rowland, P Diddy na Jay-Z Kwenye Roc Nation's Pre-Grammy Brunch

Msanii mkubwa wa muziki nchini Nigeria Tiwa Savage ambaye kwa sasa yupo chini ya lebo ya #RocNation ya Jay Z anazidi kuweka misingi mizuri ya soko lake nje ya Afrika.

Tiwa ambaye kwa sasa anategemea kusikika kwenye album mpya ya Dj Khaled ‘Grateful’ amekuwa karibu na wasanii wakubwa wa Marekani kitu ambacho kitarahisisha kufanya kazi bora, colabo na Promo kwenye radio na tv za huko.


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.