Tarajia Kuona Collabo ya Malaika na Davido Mwaka Kuu. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Tarajia Kuona Collabo ya Malaika na Davido Mwaka Kuu.

Msanii wa Bongo Fleva Malaika yupo nchini Marekani yapata miezi miwili sasa na yupo huko kwa Shughuli zake za kimuziki ikiwemo Tour yake na kutafuta Connections mbalimbali.

Malaika anaefanya vizuri na wimbo wake wa ‘Rarua’ amewadokezea uhondo wa Collabo yake na Msanii mkubwa kutoka Sierra Leone na amesema pia msanii huyo amempa Connections kibao na wasanii wengine wakubwa akiwemo Davido na huenda akafanya nae Collabo kwa mwaka huu.

“Mpaka sasa hivi nimefanya kazi na msanii mkubwa kutoka Sierra Leone na pia amenilink-up pamoja na Davido so nafikiri tutafanya kazi,”Amesema Malaika Wakati akihojiwa na DJ Haazu wa Radio 5 ,Arusha.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.