Sport: Paul Pogba uso kwa uso na kaka yake Florentin Pogba Usiku wa leo - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Sport: Paul Pogba uso kwa uso na kaka yake Florentin Pogba Usiku wa leo

Katika usiku wa leo kwenye muendelezo wa ligi ya Europa League timu ya Manchester United inaikaribisha timu ya St Etienne mechi itakayochezwa mishale ya usiku wa saa 5:00 usiku.


 Kikubwa ambacho unapaswa kujua ni kwamba kiungo alievunja rekodi ya usajili Paul Pogba anakutana na kaka yake  Florentin PeilĂ© Pogba anaekipiga katika timu hiyo ya St Etienne.

Mama mzazi wa wawili hao alipohojiwa kuhusu kukutana huko kwa mara ya kwanza uwanjani kwa watoto wake akaamua kuzungumza haya.
"Nawapenda sana watoto wangu na sitaki wauzunike zaidi ya hapo ninachokiomba na droo ili waweze kugawana point ili kila mtu abaki na furaha pia" aliyazungumza hapo mzazi huyo.

Kocha Jose Mourinho  atawaacha nje Wayne Rooney, Michael Carrick na Phil Jones ili kuwa muda zaidi watakapo kutana na Manchester City

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.