Roma Atolewa Bonge La Povu na Mkewe Mama 'Ivan' Kisa Hela ya Madee. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Roma Atolewa Bonge La Povu na Mkewe Mama 'Ivan' Kisa Hela ya Madee.

Rapper Roma Mkatoliki ameonekana kukerwa na mkewe mama Ivan.

Mkewe huyo ambaye kwenye mtandao wa Instagram anatumia jina la @mrs_roma2030 amepost kwenye mtandao huo kipande cha video akiimba wimbo wa ‘Hela’ wa Madee na kuandika, “Mengi nimepitia nikiwaadisia wengine mtalia sana/inamengi dunia usipoangali watawakatisha tamaa..heeee/laaa @madeeali.

Kitendo hicho kimeonekana kumuumiza Roma ambaye aliamua kutoa dukuduku lake kwa kuandika comment iliyowashangaza mashabiki, “Shobo hilo mxiuuuuuu kwa wimbo gani basi nawe ukaenda kujiiimbiiishaaaa!!!??? MXIUUU wajitia kuuvalia na Ushungi mwana mkosa kazi wewe!! Kwa msanii gani basi….Msanii Maandazi huyo. Nyote namiona washamba tu. Mxiuuuuuu.”
Lakini Mama Ivan alirudi tena kwa kuandika, “@roma2030 “Heeee makubwaaa mbona povu tena baba van? Basi naifuta isiwe tabu.”

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.