Rihanna Ampa Pongezi Beyonce Kwa Ujauzito wa Mapacha. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Rihanna Ampa Pongezi Beyonce Kwa Ujauzito wa Mapacha.

Baada Mrembo Beyonce usiku wa jana kutangaza kuwa mjamzito tena wa Mapacha wawili mastaa kibao walifurahishwa na habari hiyo kwa kutoa pongezi akiwemo Rihanna.

Rihanna alitumia mtandao wa Instagram kumpongeza Diva huyo kwa kuandika “so excited about this news!!!! Congratulations to you @Beyonce and my big brother Jay!!!! 
A photo posted by badgalriri (@badgalriri) on

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.