Ray C: Nilianza Mapenzi Nikiwa na Umri wa Miaka 16. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ray C: Nilianza Mapenzi Nikiwa na Umri wa Miaka 16.

Alikuwa akihojiwa kipindi cha Planet Bongo, amezungumzia mambo mengi ikiwemo bifu za wasanii, kutoa albamu, alivyoanza mapenzi .

Amedai bifu ni nzuri sababu zinachangamsha muziki, alianza mapenzi akiwa na miaka 16 ila waliachana kutokana na utoto na pia amedai watu wanamiss albamu kama zamani kwa kuwa siku hizi wasanii hawatoi tena, pia amesema sasa hivi ana nyimbo 8 tayari Mtazame Hapa: 


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.